"MAGNA CARTA" ALBAM YA JAY Z YASHIKA NAMBA 1 BILLIBOARD 200 CHARTS

Chanzo cha habari kutoka billboard 200 chart kimesema kuwa mpaka sasa albam ya jay z inayoitwa Magna Carta imeshika namba moja.Albam hiyo ambayo inasemekana imeuza kopi zaidi ya  527,000 kwa wiki moja tu ilipotoka.


Popular posts from this blog