MTUMIAJI WA VODACOM HII INAKUHUSU

Siku ya jana wateja wengi wa mtandao wa voda walikuwa wanasumbuka kupata mawasiliano kikamilifu.Ttaizo hilo lilinikuta hata mimi lakini hii ndiyo taarifa kutoka vodacom kuhusu tatizo hilo lililojitokeza hivi karibuni.

TAARIFA KUTOKA VODACOM KUHUSU TATIZO LA MTANDAO
Moto uliozuka leo katika mitambo ya kuendesha mtandao (switch) wa Vodacom umezimzwa jioni hii.
Akizungumza jioni hii Afisa Mkuu wa Mawasiliano wa Vodacom, Georgia Mutagahywa alisema moto huo ulipelekea kusimama kwa huduma zote za kampuni hiyo.
"Tunawaomba radhi wateja wetu wote kutokana na usumbufu wa kukosa mawasiliano uliosababishwa na kuungua kwa vifaa muhimu vya kuendesha mitambo yetu. Ninapenda kuwahakikishia kwamba wataalam wetu wanafanya kila jitihada kurudisha mawasiliano ya mtandao wa Vodacom haraka iwezekanavyo,


Popular posts from this blog