UWANJA WA NDEGE KENYA WATEKETEA KWA MOTOAsubuhi ya leo habari kutoka kenya zinasema kuwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa nchi hiyo wa Jommo Kenyata umeteketea kwa moto amabao chanzo chake bado hakijajulikana lakini ikisemekana kuwa ni hitilafu ya umeme uiliyotokea kwenye moja ya ofisi uwanjani hapo.
Uongozi wa uwanja huo umelazimika kusitisha huduma zake kutokana na tukio hilo.
Popular posts from this blog