PATA MEGA MIXING YA HIP HOP OLD SKOOL!

Je wewe ni mpenzi wa nyimbo za zamani kuanzia mwaka 2000 hasa zile hip hop na rnb?
Au wewe unapenda kusikiliza mixing za madj mbali mbali?Basi Dj Deo ametengeneza Mega Mixing moja kwa ajili yako mpenzi na shabiki wa muziki.Pia wewe unaependa kusikiliza utundu wa Dj fulani ni nafasi yako sasa kuonyesha sapoti kwa kijana Dj Deo!



Pata nakala ya CD yako sasa ambayo inauwezo wa kupiga kwa muda wa saa 1 na dakika 5 IKIWA na mixing kuanzia wimbo wa kwa mpaka wa mwisho.CD hiyo yenye nyimbo za zamani kuanzia mwaka 2000 kama vile -
INEED A GIRL-P DIDDY,

KEEP YOUR HEADS RINGING-DR DRE

BLOW YOUR MIND-EVE,

RISING TO THE TOP-LOST BOYS

CLUCK CLUCK-WYCLEF JEAN

UNLEASH THE DRAGON-sisqo   N.K

Na nyingine nyingi utakazozisikia ndani ya saa hilo 1 na dakika 5

CD hiyo inapatikana kwa bei rahisi kabisa ya sh. 5000/=

Ili kuipata wasiliana kwa namba +255 759 66 07 64 .

Unaweza kuisikiliza moja ya megamixing za Dj Deo hapa ikiwa hii ni CRUNKS MEGA MIXING.Bofya alama ya play hapo chini au idownload

Share: