BAADA YA KUTOKA MATOKEO YA FORM 4 HIKI NDIO KINACHOFUATA

Baada ya hivi karibuni kutangazwa matokeo ya form 4 na ufaulu kuonekana umeongezeka zaidi NEW DECA HOTEL iliyopo BOKO-TEGETA inakutangazia wewe uliyemaliza na kupokea matokeo yako vizuri kuwa kutakuwa na bonge la party siku ya alhamis tarehe 13 mwezi wa 3.....Party itakukutanisha wewe na yule uliyemaliza nae shule baada ya kupoteana kwa muda mrefu,pia itakufanya ukutane na wenzako waliomaliza na wewe kutoka shule mbali mbali nchini.
Party hii haijalioshi uwe umefel au umefaulu wote mnakaribishwa hata wewe ambaye hujamaliza mwaka ana pia unakaribishwa kuja kutoa pongezi kwa wenzetu waliofanya vizuri mwaka huu.

Party itaanza saa 1 jioni mpaka mida mibovu flani kwa kiingilio chako kidogo sana cha sh. 4000 tu.

Party itakuwa sambamba na ufunguzi rasmi wa NEW CYCLONE CLUB iliyopo ndani ya hotel hiyo.

Unaombwa kufika mapema ili kuwahi nafasi .


NYOTE MNAKARIBISHWA....




Share: