FAHAMU HUU NDIO WIMBO BORA WA MWAKA 2013 WA SOUTH AFRICA

Y TJUKUTJA - UHURU feAT DJ BUCKS&OSKIDO&PROFFESSOR ...Inasemekana kuwa huu ndio wimbo bora wa mwaka 2013-2014 kwa south africa ukiachilia mbali kuwika kwa kurudi tena kwa kundi zima la mafikizoro na kufanikiwa kutoa ngoma 2 kwa mpigo na zote kufika chat mbali mbali za muziki africa.Hapa nazungumzia HAPPNESS ambayo walimshirikisha MAY D na KHONA mbayo walimshirikisha UHURU...

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO BORA WA MWAKA 2013 -2014 SOUTH AFRICA


Share: