JUMAMOSI HII HAPA- FACEBOOK PARTY

Hii hapa ni bonge moja la party ya kukufanya ukutane na yule mtu unaechat nae kila mara,yule mtu unaelike status zake kila mara na yule mtu unaecomment status zake kila mara..
Party hii itafanyika siku ya jumamosi na sehemu iliyopendekezwa ni maeneo ya osterbay katika lounge inaitwa SYNERG GRILL & LOUNGE...
Inajulikana kuna vipaji vya kutosha sana kwa wana facebook so mida fulani hivi kama kawa utashow us what you got form god au unaforce tu?

Unaombwa kununua tiketi yako haraka na mapema kwa bei ndogo kabisa ya 5000/= lakini ukija kununua tiketi pale getini utakatwa 7000/= so fanya uwahi tiketi mapema kwa kupiga namba za simu zilizopo katika tangazo hapo chini.....
ukichelewa nafasi zikijaa basi tena.




Share: