(Coming soon by Dj Deo) MIXING NON STOP YA OLDSKOOL RNB

Baada ya hivi karibuni kuachia hewani non stop mixing ya saa 1 ya nyimbo tofauti za nigeria...Dj huyo ameibuka na kutoa cover la non stop nyingine ambayo anatarajia kuiachia hivi karibuni.Akizungumza muda mfupi uliopita na blog yetu Dj huyo ameeleza kuwa ujio huu mwingine ni wa nyimbo mbalimbali za RnB zilizotamba miaka hiyo ya 2000 ikiwa zimefanyiwa mixing tulivu zitakazoweza kukufanya wewe msikilizaji ujisikie huru na kurefresh mind yako.
Ameongeza kusema kuwa kwa yeyote anayependa mixing zake anaweza kumsapoti kwa hali yoyote ile.  
Pia anakubali mwaliko wa kupiga party yako au club au lounge.
Ukiangalia cover la ujio huu mpya utaweza kuona jinsi mtu anavyokuwa na hisia tofauti akiwa anasikiliza hii mixing.
Unaweza kumpa maoni yako kupitia mtandao wa whatsapp namba yake ipo katika cover katika picha hii hapo chini.


Share: