(New Hit) -FarajaBerry - Utanielewaje

Kwa mara nyingine tena amerudi baada ya kutoa kile kibao chake cha kuitwa umenibamba ikiwa kwenye miondoko ya zouk,kwa sasa amerudi na hii hit ... mi siongei sana hebu download na uiskilize vema kabisa zen .... request zako ziwe zinaenda kwa hewa...
Popular posts from this blog