WHATSAPP FANS PARTY IN SWIMMING POOL KUFANYIKA JUMAMOSI

Kwa wale waliojiunga na group la whatsapp kupitia mtandao wa facebook wanajua nini nazungumzia..... Lilianzishwa group kupitia Whatsapp na kuwaunganisha watu toka sehem mbalimbali za nchi hii.Hapa kuzungumzia Kuhusu Kukutana kwa wapenzi watumiaji wa mtandao huo.
Kwanini ukosekane kuja kufurahi na wenzako kupitia hii party.? Unaombwa upatapo tanzazo hili mtaarifu na mwenzko tuje kujumuika wote katika kuuaga mwaka 2014.
Party itafanyika katika hotel moja maarufu sana iliyopo maeneo ya kijitonyama.Hotel inaitwa KD HOTEL. Kwa wale wanaotokea maeneo ya jirani na hawajawai kufika ukifika sayansi muulizie mtu yeyeote yule atakuonyesha ilipo na huwezi kupotea.
Kutokana na wengi wetu tunakatazwa kukesha basi party itaanza majira ya jioni mpak muda flani hivi amabo mtu ataweza kurudi nyumbani salama na wale tunaopenda kukesha moja kwa moja tunaelekea afta party club fla ni hivi utaijua siku hiyo ukifika.
Kiingilio chako kitakuwa 5000 tu...
Utapata kuogelea kwenye swimming pool kubwa katika hotel hiyo.

WOTE MNAKARIBISHWA.
(Picha juu na chini) Hawa ni baadhi ya watu wakifurahia kuogelea hotelini hapo siku za kawaida za wiki sasa jiulize siku hiyo umati utakuwaje na raha yake itakuwaje.... Mlete na mdogo wako pia.


Popular posts from this blog