DIAMOND ATAJWA TENA KWENYE HIZI TUZO HUKO NIGERIA

Mtandao mkubwa kabisa wa Nigeria unaoitwa tooxclusive umetangaza awards zake ambazo hufanyika kila mwisho wa mwaka.Mtandao huo ndio pekee katika kutangaza muziki wa Africa.Katika kipindi cha mwaka jana umeweza kuingiza nyimbo kadhaa za msanii wetu Diamond Plantinumz.Na katika kuona kipaji chake umemtaja katika kuwania tuzo hizo akiwa katika kipengele cha BEST AFRICAN ARTIST OF THE YEAR...
Katika kipengele hicho Diamond anachuana na wasanii kadhaa kama SACKODIE,MAFIKIZORO,UHURU,MICASA,CASPER NYOVEST,FUSE ODG,SAUTI SOL,STANLEY ENOWJinsi ya kutazama na kupiga kura katika  tuzo hizo tembelea kwa BOFYA HAPA (TOOXCLUSIVE AWARDS)

Popular posts from this blog