VIDEO YA 'FANZ MI' YA DAVIDO & MEEK MILL YAONGOZA KUTAZAMWA NDANI SAA 24

Kupitia mtandao mmoja umeripoti ya kuwa haijawahi kutokea kwa msanii wa nigeria kufanya video na ikapata kutazamwa mara nyingi zaidi ndani ya saa 24.
Rekodi hii imeonyeshwa na davido kupitia video yake mpya aliyoiachia hivi karibuni akiwa na rapa wa kimarekani wa kuitwa Meek MILL.
Mtandao huo umeripoti na kusema kuwa video hiyo ya wimbo unaokwenda kwa jina la FANS MI ilipata kutazamwa ma Mil.2 na zaidi ndani ya saa 24.Popular posts from this blog