[ATTENSION TANZANIA] DJ D- OMMY ATAJWA KUWANIA HIZI TUZO na WASANII WENGINE WA TANZANIA [AEA.USA]

Tujivunie Tanzania... Hatimaye tunaendelea kupiga hatua kwenye tasnia mbalimbali.Kwasasa watanzania wenzangu naomba tuungane kuwasapoti vijana na kaka na Dada zetu ambao wametajwa kwenye vipangele tofauti katika tuzo za AFRICA ENTERTAINMENT AWARDS USA.

Watanzania hao ambao wanawakilisha kuwania tuzo mbalimbali ni kama vile...
DIAMOND PLATNUMS
JOH MAKINI
OMMYDIMPOZ
LINAH
VANNESA MDEE
MILLAD AYO
DJ D-OMMY
ALI KIBA
YAMOTO BAND
HARMONIZE
AY
RAYMOND

Ili uweze kupiga kura tafathari
Bonyeza hapa link yenye rangi AFRICA ENTERTAINMENT AWARDS USA

Popular posts from this blog