DIAMOND ATWAA TUZO HII HAPA NIGERIA

TOOXCLUSIVE.COM ni mtandao pekee unaoweka ngoma mpya za wasanii wa africa..Mwishoni mwa mwaka jana nililetea habari kuwa diamond ametajwa kuwania tuzo ambazo zimeandaliwa na website hiyo.
Diamond alitajwa katika kipengele cha manii bora frica akiwa na wegine wengi kutoka nchi tofaut za Afrika . Na katika tuzo hiyo Diamond amejinyakulia taji hilo la MSANII BORA AFRICA


AFRICAN ARTISTE OF THE YEAR
This is a non-Nigerian award category for an individual African artiste or group with the most astounding endeavours especially in penetrating the Nigerian music industry in the year under review.

Popular posts from this blog