"TOO MUCH" NGOMA MPYA,COLLABO YA EAST AFRICA NA WEST AFRICA

Msanii NAIBOY kutoka Kenya anatarajia kuachia Hit mpya itakayoenda kwa jina la TOO MUCH akiwa ameshirikiana na yule yule aliyekuja na hit ya staili yake ya AZONTO kutokea Ghana,anaitwa FUSE ODG.
Ngoma hiyo inatarajiwa kuachiwa rasmi kwenye vyombo kunzia mwezi march.

Popular posts from this blog