#DOWNLOAD DJ MIXTAPE - "THE RIDDIMZ REVIEW MIXTAPE" By DJDEO

Kwa Mara nyingine tena yule yule OFFICIAL DJ DEO kutokea KISS FM RADIO Dar Es Salaam,Anakuja kukudondoshea MIXTAPE ingine kwa wale wapenzi wa muziki wa reggae.
Sikiliza Mixing kali zilizopangiliwa kugusa hisia zako... 

Kwenye MIXTAPE hii utapata kusikiliza RIDDIMZ mbalimbali zilizotamba na zinazotamba kwa sasa. Ikiwa ni katika KUREVIEW riddim versions fulani za sweet reggae (Loversrocks)

KAMA WEWE NI MPENZI NA UNGEPENDA DJ DEO AJE KUAMSHA HISIA ZA WATEJA WAKO KWENYE CLUB , BAR, PUB , LOUNGE N.K unaweza kumtafuta kupitia mawasiliano yake ambayo ni 0713 811331 AU mitandao ya kijamii kama vile INSTAGRAM @djdeo255 na FACEBOOK @rdj deo.Popular posts from this blog