MR. FLAVOUR KUACHIA ALBAM YA 5 ???

Hili swali ambalo Msanii huyo kutoka Nigeria Aliwauliza mashabiki zake kupitia mtandao mmoja wa kijamii. Tangu Mr. Flavour kuingia kwenye Tasnia ya Muziki mpaka sasa amekwishaachia albamu nne ambazo zinakwenda kwa majina yafuatayo....


Mwaka 2005 - N'abania
Mwaka 2010 - Uplifted
Mwaka 2012 - Blessed
Mwaka 2014 - Thankful

Hizo Zilikuwa ni albamu ambazo zimefanya vizuri kwenye chati mbali mbali ndani na nje ya Nchi ya Nigeria.

Kupitia mtandao mmoja wa kijamii Msanii huyo alipost akiuliza mashabiki zake "Who is ready for a 5th album?"


Popular posts from this blog