Skip to main content

UNAKOSAJE SASA??? HII PARTY SIO YA KUKOSA ....

Ni Jumamosi hii tarehe 22 ... Eneo ni JANGWANI SEE BREEZE RESORT maeneo ya mbezi Beach ... Ukifika Kituoni AFRICANA unachukua BAJAJI au PIKIPIKI unamweleza tu akupeleke JANGWANI SEE BREEZE RESORT.

Kwenye mashine Atasimama DJ DEO kutokea KISS FM RADIO DAR ESSALAA akisaidiwa na kupigwa tafu na DJ VALELA kutokea YOUNG DJS .

Akiongea na mwandishi wa habari hii DJDEO amesema Watu na wateja wajitokeze kwa wingi sana maana zitapigwa ngoma nonstop , hits juu ya hits , hakuna atakae kaa ... Tena amesema itakuwa ni zaidi ya kile kilichotokea Morogoro siku chache zilizopita.


 Hivi ndivyo ilikuwa huko MOROGOROSasa ni wakati wako kujichanga na usikusudie kuikosa hii ya JUMAMOSI hii PALE JANGWANI SEE BREEZE ....


HUU NDIO MUONEKANO WA ENEO LA TUKIO PALE JANGWANI SEE BREEZE RESORT


Kwa TAARIFA ZAIDI ungana nae FOLLOW INSTAGRAM @djdeo255
na WHATSAPP +255713811331

Popular posts from this blog

(DjMix) DJ DEO - BONGO FLEVA HITS NON STOP MIXING

Please listen and download this dj mixing from tanzania by group YOUNG DJS ...Present Dj Deo on this mix

(Audio - Dj Mixing) DjDeo - BONGO FLEVA OLD SKOOL NON STOP

This is mix from the Dj in Tanzania who representing YOUNG DJS GROUP ... Make this olds of bongo fleva ....
Take your time to download and to listen of it...If you will like the mix yu can subcribe and comment below or to my whatsapp number.... on the cover ...

KURASA ZA MAGAZETI MBALIMBALI ZATAWALA PICHA ZA MANDELA

Baada ya hapo jana majira ya saa 2 usiku kwa saa za afrika ya mashariki kutangazwa kifo cha aliyekuwa mpigania uhuru na raisi wa kwanza wa Afrika kusini Bw.Nelson Mandela,leo hii magazeti mbalimbali duniani yatawala kwa habari hiyo

ANGALIA MAGAZETI HAYO