[ SOMA HAPA ] JINSI YA KUPATA EXTENDED MPYA KWA WAKATI

Je, Unahitaji Extended Mpya  Kwa Wakati? Wewe Ni mdau Na Mpenzi Wa Extended Zangu ?? Asante Sana Kwa Kutembelea Blog Yangu Na Kudownload BURE extended pamoja na Mixtape Zangu.

Ili Kupata Extended Kwa Wakati Na Zinazotoka Kila Week Kabla Hata Hazijawekwa Hapa, Kazi ni rahisi Sana. Unachotakiwa Kufanya Ni Kunicheki WHATSAPP PEKE YAKE kupitia Namba 0753 909209.

Lakini Pia Kama unahitaji Kunipa Mualiko Kuja Kupiga Mziki Sehemu Yako, Kwenye Party Yako Pia Unaweza Kuwasiliana Na DJDEO kupitia Namba Hiyo Hiyo Hapo.

Usiogope Bei Zake Ni rahisi Sana Kuliko Madj Wengine Wakubwa. Karibu Sana Na Kazi yake Utaipenda .
Share: