Baada ya Kimya Kidogo sasa DJDEO ametuletea tena mix hii hapa yenye dakika 35 zenye ujazo wake , Enjoy
Vile vile unaweza kuwa karibu na yeye kupitia mitandao wa kijamii ikiwepo instagram kwa jina la @djdeo255 na facebook kwa jina la @djdeo extended ....
Tembelea maeneo yake ambayo anappatikana kila weekend kupata burudani na vibe lote ambalo huwezi kuboreka .