Amanda Bynes alitweet hivi kumwambia Rihanna "Chris Brown beat you because you're not pretty enough" and "no one wants to be your lover so you call everyone and their mother that I almost named my new dog Rihanna.
Lakini chanzo cha taarifa hii zinasema kuwa Baada ya kutweet hivyo Amanda kwa haraka aliufuta ujumbe huo lakini
inasemekana Rihana aliweza kujibu tweet hiyo kwa kutweet hivi "Ya see what happens when they cancel Intervention?"