HIKI NDICHO ALICHOKIANDIKA KUPITIA FACE BOOK
tOKA NIANZE MUZIKI JANA NDIYO NIMECHUKUA TUZO YANGU YA KWANZA, TUZO HIZI ZIMEANDALIWA NA GLOBAL PUBLISHERS.NA NI TUZO YA WIMBO BORA WA HIP HOP.NASEMA ASANTE MUNGU KWA SHAVU JINGINE, ASANTE SANA MASHABIKI KWA KURA ZENU, ASANTE SANA GLOBAL PUBLISHERS. NA NAWAOMBA MFANYE HII KITU MIAKA YOTE ILI KUWE NA TUZO NYINGI NYINGI. ASANTE SANA BROTHER FROM ANOTHER MOTHER DJ CHOKA KWA KUNIKABIZI HII KITU. NDUGU ZANGU NAWAKUMBUSHA KUENDELEA KUNIPIGIA KURA KWENYE TUZO ZA KILIMANJARO MUSIC AWARDS.ASANTENI SANA KWA MARA NYINGINE