Skip to main content

MASTAR WAOMBEA WAHANGA WA KIMBUKA

Kufuatia tukio lililotikisa jimbo la Oklahoma nchini Marekani,wasanii na mastaa mbalimbali waeleza hisia zao kuhusiana na jambo hilo.
Kupitua mitandao mbalimbali ya kijamii mastaa hao waliandika masikitiko yao.

ANGALIA HAPO CHINI KAULI MBALIMBALI ZA MASTAA KUHUSU TUKIO HILO

Beyoncé , "Prayers for #Moore Oklahoma
Solange wrote, "Oklahoma, you are in my thoughts.
Rihanna  "Praying for Oklahoma"  Alicia Keys  "So much going on in the world ... I'm saddened by the devastating news ... My thoughts and prayers are with all those affected #PrayForOklahoma.

Carrie Underwood, "It doesn't change how devastating it is when something does happen ... I'm thinking about and praying for my beautiful home state and the people in it tonight."
Katy Perry "Sending out prayers for the people of Oklahoma tonight. Let's help, just text REDCROSS to 90999 to donate 10 dollars to those in need."

Mastaa wengine ni kama vile Khloe Kardashian Odom, Alyssa Milano, "Parks & Recreation" star Adam Scott, Ellen DeGeneres, Rosie O'Donnell, Olivia Munn, director Kevin Smith, Neil Patrick Harris and Floyd Mayweather.Popular posts from this blog

(DjMix) DJ DEO - BONGO FLEVA HITS NON STOP MIXING

Please listen and download this dj mixing from tanzania by group YOUNG DJS ...Present Dj Deo on this mix

(Audio - Dj Mixing) DjDeo - BONGO FLEVA OLD SKOOL NON STOP

This is mix from the Dj in Tanzania who representing YOUNG DJS GROUP ... Make this olds of bongo fleva ....
Take your time to download and to listen of it...If you will like the mix yu can subcribe and comment below or to my whatsapp number.... on the cover ...

KURASA ZA MAGAZETI MBALIMBALI ZATAWALA PICHA ZA MANDELA

Baada ya hapo jana majira ya saa 2 usiku kwa saa za afrika ya mashariki kutangazwa kifo cha aliyekuwa mpigania uhuru na raisi wa kwanza wa Afrika kusini Bw.Nelson Mandela,leo hii magazeti mbalimbali duniani yatawala kwa habari hiyo

ANGALIA MAGAZETI HAYO