OBAMA KUTEMBELEA TANZANIA MWEZI JUNE

Raisi wa Marekani Ballack Obama anatarajiwa kutembelea bara la Afrika mwanzoni mwa mwezi June.Ikulu ya Marekani (white house) imetaja miongoni mwa nchi atakazotembelea ni pamoja na Senegal , South Afrika  na Tanzania lakini Kenya na Uganda hatofika
Moja ya sababu zinazoelezea kuwa Obama kutofika kenya ni pamoja na kesi inayoendelea hivi sasa nchini Kenya inayomkabili Uhuru Kenyatta na William Ruto

Popular posts from this blog