Akiongea na moja ya kituo cha habari nchini Japan,mzee Yuichiro Miura mwenye umri wa miaka 80 alisema ana furaha sana kufika kilele cha mlima everist japokuwa umri wake umeenda sana na amehisi kuchoka.
Akiongea zaidi mzee huyo alidai kuwa recodi hiyo haitadumu muda mrefu kutokana na umri wake huo.
Yuichiro Miura said: "This is the world's best feeling." But he confessed to feeling "totally exhausted"