NYOKA MKUBWA AKAMATWA

Nyoka aina ya chatu mwenye urefu wa foot 19 amepatikana huko South Florida.Nyoka huyo alipatikana wakati anajaribu kutaka kumuuma mtu mmoja ambaye alikuwa amepumzika nje ya gari lake.Jamaa huyo alipomuona aliwahi kumshika sehemu za kichwani na ndipo alipomuita mwenzake na kuwezekana kumkamata nyoka huyo
Pichani waliolala wakati wanampima urefu nyoka huyo na pembeni ndio jamaa aliyemkamata nyoka huyo

Share: