WATU WATANO WAFARIKI KWA AJARI YA GARI


Watu watano inasadikiwa kuwa walikuwa ni watumishi wa kanisa wamefariki dunia baada ya gali ndogo walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kupinduka kusini mwa mji wa illinois
Watu hao ambao walikuwa wakitokea katika mkutano wa injili jijini carfonia,watano kati ya tisa waliokuwako ndani ya gari hilo ndio waliopoteza maisha

Popular posts from this blog