BAR YAWAKA MOTO DAR

Bar kubwa iliyopo maeneo ya kinondoni jijini dar yawaka moto na kuteketea kabisa bila kuokoa chochote.Chanzo cha moto huo kilisemekana kuwa ni hitilafu ya umeme ambapo moto huo ulianzia kwenye chemba moja iliyopo katika baa hiyo.Tukio hilo limetokea leo majira ya saa 9 alasiri katika eneo hilo.
Moto huo uliunguza baa hiyo kabla ya kuamia nyumba ya iliyokuwa jirani ya baa hiyona kuunguza upande wa nyumba hiyo.Mpaka natoka eneo la tukio haijafaamika ni kiasi gani cha mali kilichoteketea na hakuna taarifa za kutokea kwa kifo cha mtu yeyote.


Share: