HADIJA KOPA HOI BAADA YA KUPATA TAARIFA ZA KIFO CHA MUMEWE

Akiwa yupo safarini kwa ziara ya siku ya mazingira mkoani Rukwa,Bi hadija kopa aangusha kilio baada ya kupata Taarifa za kifo cha mumewe.Hali ambayo ilifanya aishiwe nguvu kwa mshituko na kilio,mkuu wa mkoa wa Rukwa Bi Stalla Manyanya alimfariji baada ya kuingia katika chumba cha kupumzikia wageni katika uwanja wa ndege wa mjini mpanda mkoani rukwa ambapo Bi Hadija Kopa alikuwa tayari kupanda Ndege kurudi Dar katika msiba.



Share: