Breaking news-MUME WA MALKIA WA TAARABU HADIJA KOPA AFARIKI

Habari za leo asubuhi zinamhusu mume wa malkia wa taarabu bongo Bi Hadija Kopa aitwae Jaffary Ally amefariki usiku wa kuamkia leo katika hospitali iliyopo Bagaboyo ambapo ndio nyumbani kwa jamaa huyo.Chanzo cha habari kinasema kuwa Jaffary amefariki kutokana na maradhi yaliyokuwa yanamsumbua muda mrefu ya mfumo wa upumuaji.Hivi karibuni Jaffary alipata nafuu hata kurudi nyumbani kabla ya kurudishwa hospital na mpaka umauti kumkuta.
Habari zinasema kuwa Bi Hadija Kopa yupo mkoani kwa shuguli zake za muziki.

Share: