video-WATU WA 3 WAFARIKI KWA KUNYWA CHANG'AA HUKO KENYA

Watu watatu wamefariki na mmoja kulazwa katika hospitali ya Meru level five wakiwa katika hali mahututi baada ya kudaiwa kunywa changaa yenye sumu katika kijiji cha Kirimaitune eneo la Imenti kaskazini.

Share: