Breaking news-SIKILIZA HAPA TAARIFA -LANGA AFARIKI DUNIA

CLICK HAPA ILI USIKILIZE

Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba msanii Langa afariki dunia..

Langa Kileo (msanii wa Hip Hop Tanzania, pichani) amefariki dunia leo hii na  kwamba alipelekwa hospitali akiwa hajitambui.


Bado taarifa za kina hazijapatikana juu ya kifo hicho, endelea kufuatilia hapa kwa taarifa zaidi



Share: