Ahadi imetimia-HII NDIYO SAFARI KALA JEREMIAH AKIPELEKA TUZO KWA MAMA NGWEA

Ile ahadi aliyoitoa kala jeremiah siku kadhaa zilizopita imetimia.ALisema kuwa atatoa tuzo yake moja kwenda kwa Marehemu Ngwea,na tuzo hiyo ataipeleka nyumbani kwa mama Ngwea mjini Morogoro.Ahadi hiyo imetimia kwa kupeleka tuzo hiyo mjini morogoro.Kama picha zinavyoonyesha ni moja ya safari za kuelekea morogoro kuikabidhi tuzo hiyo kwa mama wa M arehemu Ngwea.



Share: