Siku ya jana kulitokea vifo vya wasanii wawili mmoja ni mwanamuziki wa HIP HOP bongo LANGA KILEO na mwingine ni msanii wa BONGO MOVIE anayeitwa HASSAN KIHIYO.
Vifo vya wasanii hawa vilitokea siku ya jana ALHAMISI wakiwa katika hospitali wakitibiwa.
R I P LANGA & HASSAN KIHIYO