INASIKITISHA-KICHANGA CHAOKOTWA MAGOMENI

Asubuhi hii kichanga kimekutwa kimekufa kikiwa katika mfuko wa rambo mweusi maeneo ya magomeni zilipokuwa nyumba za kota.
Muhusika wa tukio hilo hakufahamika mpaka aliyetuma habari hii anatoka eneo la tukio BAADA ya polisi kufika na kuuchukua mwili wa kichanga hicho.


Share: