HII NDIO MOVI MPYA ALIYOCHEZA WILL SMITH NA MWANAE JADEN SMITH

Mkali wa zamani aliyetamba katika movie na mziki na mcheza kikapu WILL SMITH amerudi tena katika filam yake mpya inayokwenda kwa jina la AFTER EARTH akiwa na mtoto wake wa kiume ambaye nae pia ni mwana muziki na mcheza filamu ,JADEN SMITH.
JADEN SMITH amecheza movie kadhaa ambazo zilipata umaarufu pia kama vile KARATE KID aliyocheza na JACK CHAIN.
Katika muziki JADEN SMITH aliwahi kushirikishwa katika wimbo wa JUSTIN BIEBER unaoitwa NEVER SAY NEVER

HILI NDIO KAVA LA MOVIE HIYO MPYA "AFTER EARTH"


Share: