HUDDAH(KENYA),DENZEL(UGANDA) WATOLEWA BBA HOUSE

Mshiriki wa Big brother kutoka kenya Mwanadada mrembo Huddah Monroe Na mshirki kutoka Uganda Denzel wametoka katika jumba la bog brother baada ya kuonekana kupata kura chache zaidi ya wengine walizopigiwa na washabiki kutoka nchi mbali mbali.Hali inayoonyesha Tanzania bado tunapeta kulisaka Taji hilo ndani ya mjengo
MUNGU BARIKI TANZANIA
MUNGU BARIKI FEZZA & NANDO


HUDDAH MONROE

Share: