Skip to main content

HIKI CHAMA KIPYA KILICHOANZISHWA AFRIKA KUSINI

Mmoja wa wanaharakati wa kupinga ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini Dr. Ramphele amezindua chama kipya cha kisiasa kutoa changamoto kwa chama tawala cha ANC kwenye uchaguzi mkuu wa nchi hiyo hapo mwakani.

Dr. Ramphele amewaambia wafuasi wake waliokusanyika wakati wa uzinduzi wa chama hicho mjini Pretoria kuwa ANC haitakiwi kuaminiwa kuinua uchumi wa nchi hiyo.
Chama chake kijulikanacho kama Agang chenye maana ya kujenga kimejipanga kupigana na Rushwa na kuimarisha sekta ya elimu kama malnego yao makuu. Dr. Ramphele ni mkurugenzi wa zamani wa Benki ya dunia na ni mke wa zamani wa mpigania uhuru wa Afrika Kusini hayati Steven Biko.
Mchungaji mstaafu Desmond Tutu amemtaja Dr. Ramphele kama mtu hodari na kiongozi mwenye msimamo

Dr. Ramphele

Popular posts from this blog

(DjMix) DJ DEO - BONGO FLEVA HITS NON STOP MIXING

Please listen and download this dj mixing from tanzania by group YOUNG DJS ...Present Dj Deo on this mix

(Audio - Dj Mixing) DjDeo - BONGO FLEVA OLD SKOOL NON STOP

This is mix from the Dj in Tanzania who representing YOUNG DJS GROUP ... Make this olds of bongo fleva ....
Take your time to download and to listen of it...If you will like the mix yu can subcribe and comment below or to my whatsapp number.... on the cover ...

KURASA ZA MAGAZETI MBALIMBALI ZATAWALA PICHA ZA MANDELA

Baada ya hapo jana majira ya saa 2 usiku kwa saa za afrika ya mashariki kutangazwa kifo cha aliyekuwa mpigania uhuru na raisi wa kwanza wa Afrika kusini Bw.Nelson Mandela,leo hii magazeti mbalimbali duniani yatawala kwa habari hiyo

ANGALIA MAGAZETI HAYO