HIKI NDICHO KILICHOJIRI LEADERS CLUB KATIKA KUMUAGA ALBERT MANGWEA

 Zoezi la kuuwaga mwili wa marehemu albert mangwea limefanyika leo kuanzia majira ya saa 2 asubuhi mpaka saa 6 mchana baada ya kamati ya mazishi kusitisha zoezi hilo ikiwa bado watu wengi hawajapata nafasi ya kuuaga mwili wa msanii huyo.

Mwili wa Mangwea hivi sasa uko safarini kuelekea Mjini Morogoro ambapo utalala nyumbani kwa mama yake na kesho uwakazi wa Mji huo pia watapata nafasi ya kutoa heshma zao za mwisho.








































Share: