Wananchi wengi waliokusanyika katikati ya barabara ya morogoro eneo la mikese walazimisha msafara wa ngwea kusimamishwa kwa kile kilichodaiwa kuwa wananchi hao wanataka wauage mwili wa marehemu Ngwea.Tena wakidai pasipo kufanyika tendo hilo basi hawatoki barabarani.Uwamuzi uliofanyika ni kuwataka wananchi hao waliguse tu gari la llililobeba mwili wa marehemu,na kitendo hicho kilileta suruhu na wananchi wakafanya hivyo msafara ukaendelea na safari kuelekea morogoro,Waendesha bodaboda eneo la Mikese waongoza msafara huo kuelekea morogoro-kihonda.Ambapo mazishi yatafanyika huko.
R.I.P NGWEA