LINAH & AMINI BREAK UP AGAIN?

Wiki kadhaa m sanii Amini alisikika akisema kuwa yeye na msanii mwenzake kutoka Tanzania House of Talent (THT) Lina Sanga (Lina) wamerudiana katika uhusiano wa kimapenzi baada ya kuachana. Lakini mapema wiki hii kupitia mtandao wa instagram, kuna picha iliyotumwa na video queen wa video ya wimbo wa Masogange (Aggy Masogange) ikimuonyesha Lina na kijana mwingine ikiwa na maelezo yanayo onyesha kuwa ni wapenzi.

source djfettyblog

Popular posts from this blog