Ile ngoma inayotamba kwa sasa ya ney wa mitego na diamond ya MUZIKI GANI imeleta idea nyingine kwa wasanii wawili SAJNA na FREGE kwa kutoa wimbo unaoitwa MPIRA GANI.Sajna alisema kuwa alimuomba ney kufanya ngoma hiyo kwa idea ya MUZIKI GANI na NEY alimkubalia,aliongeza kwa kusema kuwa ngoma hiyo alifanya tu bila kujua kama itakubalika na watu maana hakuwa na nia ya kuitoa redioni lakini cah kushangaza ngoma hiyo imeanza kusikika mitaani mapema wiki hii .
KAMA HUJAWAHI KUISIKILIZA CLICK LINK HAPO CHINI UWEZE KUISIKILIZA NA KUIDOWNLOAD.
CLICK HAPA KUPATA --MPIRA GANI-SAJNA feat FREGE
PICHANI NI SAJNA