SHEREHE YA HARUSI YA BINTI WA MALKIA WA SWEDEN

Binti wa malkia wa sweden MADELEINE amefunga ndoa hivi karibuni na mfanyakazi wa benki ya new york Bwana CHRISTOPHER O'NEILL,sherehe iliyofanyika Mjini Stockhom.Katika sherehe hiyo iliyoudhuriwa na watu wengi maarufu na viongozi wa falme mbalimbali,akiwemo Prince wa Creece na Denmark,Prince Nikolaous na mkewe Tatiana,Princess wa Monako Charlene na wengine wengi.

HIKI NDICHO KILICHOJIRI HUKO KATIKA PICHA.















Share: