(Angalia video hii)-KISWAHILI KINAZIDI KUPIGA HATUA


Hii inaonyesha ni kiasi gani nchi za wenzetu wanapenda kuongea kiswahili.Kilichonifurahisha hapa
1 mada inagusika kabisa na maisha tuliyonayo sasa tanzania.
2 napenda matamshi yao.


Hawa ni wanafunzi wa kiswahili wa chuo kimoja huko india katika compus ya bloomington campus nchini marekani.

Kwanini tusikikuze kama hawa

Toa maoni yako hapa chini je unaonaje hilo swala?

Popular posts from this blog