Breaking News-MBOWE ASHIKILIWA NA POLISI

Mwenyekiti wa Taifa Chadema na Kiongozi wa upinzani bungeni Freeman Mbowe amekamatwa na Jeshi la polisi nchini na kwa sasa yuko chini ya ulinzi mkali sana wa Polisi.UPDATES
Mwenyekiti Mbowe tayari ameachiwa huru baada ya majadiliano ya kina kati ya Polisi na Mawakili wa Chadema.

Polisi wamekubali mawakili wa Mbowe kujibu kwa maandishi kwanini alisema polisi wanahusika na mlipuko wa Arusha na kisha watafanyia kazi majibu hayo na kutoa uamuzi wao

Popular posts from this blog