BREAKING NEWS

Najua watanzania wengi hasa wale wapenda burudani mtakuwa mnazijua club kubwa nchini.Kati ya club hizo hauwezi kukosa kutaja club Masai ambazo zimetawanyika sehemu kadhaa za jiji na hata mikoani.

Kuna club Masai Kinondoni, Club Masai Galapo Ilala, Club Masai Annex Kurasini na zingine zikiwepo mikoani kama ile iliyopo Kahama.

Sasa kwa taarifa nilizopokea hivi punde ni kuwa  Bosi na mKurugenzi  wa kampuni hizo amefariki dunia jioni ya leo wakati akiwa safarini kuelekea Iringa,amepata ajali akiwa njiani.
Jina lake maarufu ambalo wengi wanamfahamu kwa jina la ABOGA.

UPDATES FROM FACEBOOK
Ray Amos anasema "Ajali hiyo iliyo sababisha kifo cha aliyekuwa chifu wa Meridian Hotel na Masai club kilitokea akielekea iringa yeye na mwenzie aliyefahamika kwa jina la Adrian"


Taarifa zaidi zitawajia hapa hapa

.

Popular posts from this blog