KIFO CHA MKURUGENZI WA MASAI CLUB NA MERIDIAN HOTEL

Jana jioni nilipokea taarifa za kifo cha aliyekuwa bosi wa masai club na mkuruganzi wa meridian hotel ambazo makao yake makuu yapo Kinondoni Komakoma;kama ilikupita taarifa hiyo bofya link hapa chini iliyoandikwa BREAKING NEWS

BREAKING NEWS

Hii hapa ndio update za ajali ilivyotokea

Tarifa kuhusu ajali iliyo sababisha kifo cha Aboga (chifu) wa Meridiani hoteli na masai club aliyekuwa anasafiri kuelekea iringa na gari ndigo aina ya toyota verosa akiwa na mwenzake aliyefahamika kwa jina la Adrian ambaye ndiye aliyekuwa dereva yeye anaendelea vizuri baada ya kunusurika katika ajaliiyo iliyo tokea maeneo ya mikum ajali imetokea baada ya kugonga lori lililokuwa limearibia.

Picha hii na Dj Dek blog

Aliyeshika glass ndio bosi na mkurugenzi wa meridian hotel na masai club Benedict lukumay aka ABOGA

Popular posts from this blog