Mke wa Rais wa Marekani mama Michelle Barack Obama akiwasili katika ofisi za Wanawake na Maendeleo WAMA jioni hii wakati alipotembelea katika ofisi hiyo na kuwa na mazungumzo na mwenyeji wake Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete katika makao makuu ya taaisis hiyo leo...
Rais Barack Obama na Mke wake Michelle Obama wako katika ziara ya siku mbili ya kikazi nchini Tanzania wakiongozana na watoto wao jioni hii ....
Rais Barack Obama atakuwa na mazungumzo na mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete na pia watazungumza na waandishi wa habari Ikulu kabla ya kuendelea na kazi zingine.