Simanzi tena-KIFO CHA MSANII WA VICHEKESHO

TANZANIA COMEDIAN'S ASSOSIATION inasikitika kukuambia kuwa comedian mwenzetu Posa,


amefariki dunia leo saa 3 asubui katika hospitali ya mwananyamala alipokuwa


amelazwa.

Taarifa zaidi za msiba utakapokuwepo tutaambiana ila watu bado tupo

hospitali tafadhari mjulishe na mwenzio..

R.I.P POSA


Share: