(Bonge la party si ya kukosa) WANAFUNZI WA SHULE ZA KATA NA WOTE WALIOMALIZA FORM 4 KUANZIA 2009

SAVANNAH SPORT CLUB ILIYOPO MBEZI BEACH AFRIKANA NJIA YA KWENDA BELINDA HOTEL KABLA HUJAVUKA DARAJA KARIBU NA ROUND ABOUTINAKULETEA disco kabambe siku ya sikukuu ya idd mosi.
Shangwe zitafanyika ndani ya ukumbi huo maeneo (kama ilivyoelekezwa juu katika kichwa ca habari)

Wahusika zaidi ni wanafunzi wote waliosoma na wanaoendelea kusoma shule za sekondari za kata na hata zisizo za kata.

Mlangoni utatakiwa kulipa Tsh.3000.

kuanzia saa 8 mchana mpaka mida flani hivi.

Kuonyesha kipaji chako kutahusika sana kama wewe unajua kuchana fanya hivyo jipange na mengine mengi si ya kukosa mjanja wa shule kipindi kile na wewe wa leo.

Tukutane hapo siku hiyo au VIPIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIPopular posts from this blog